Fifa 15 PC game imetoka

sijui nini

JF-Expert Member
Joined
Sep 29, 2010
Posts
2,553
Reaction score
1,293
Haya tena kwa wale tuliojaaliwa uvumilivu mzigo umetoka..fifa 15 na crack yake...mi sijaijaribu bado ndo naidownload saiz kwa torrent.
 
imetoka ya windows 7. waiting for windows 8/8.1
 
Nawashauri msubiri baada ya wiki i think watatoa version nzuri zaidi hii nmimeona ina bugs nyngi.
 
yeah..ni kweli kabisa..kuna watu walishakata tamaa..but atlaast..
 
Weka link bas ya window 7 MAANA NLIDOWNLOAD MOJA NAFIKIR YA WINDOW 8 YA 3GM WALE CRACKERS BAADA YA KUINSTALL IKANIAMBIA PLEASE INSTALL ORIGIN SO KAMA UKO VIZUR UNAEZA NSAIDIA HAPO NIFANYAJE MAANA OPTION ZOTE ZA YOU TUBE ZNAKATAA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…