Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
nimeiona kaka demo yao dah jamaa wako serious mno!!! nimecheka sana commercial ya lewandoski na dempseykaka umeniwahi nilikuwa na mimi nakuja kuweka link ya demo. check hii commercial yao
man u haipo? madrid haipo? bayern haipo? wamezidi kuonesha mapenzi yao yakimessi. nasubiri lile game la christiano ronaldo au ribery litoke
man u haipo? madrid haipo? bayern haipo? wamezidi kuonesha mapenzi yao yakimessi. nasubiri lile game la christiano ronaldo au ribery litoke
ndo maana ikawa demo kaka ukitaka timu hizo lazima uchukue mzigo kamili jana nilijaribu kucheza lakini unaweza kuwapata wachezaji wote mastaa na kitu cha ultimate team hii ni miongini mwa feature nzuri zinazopatikana katika fifam14
sasa fifa wao wanajisifu ni wazee wa reality, reality bayern ndo wakali wa ulaya mi kabla sjanunua game lazima niwatest iweje wasiwepo kwenye demo?