Nimekuelewa sana mkuu. Waambie hao ambao hawajielewi mara ooh mond hiviii mara vilee mtaishia mipakani tuu na hamto wwza penya kwe ma mtv afrima na mengine kibao shaul yenu wapumbavu wakubwa nyiny kazi kumponda mtu na mafanikio yake. Mbona hao mnao washabikia hatuoni wakifanya cha maana zaid au kuitangaza Tanzania zaid kimziki ktk nchi za mbele hukooo.Umeongea point bro zaman alkuwa anaona kafka na kuitwa kwa rkel akabweteka badala ya kutumia nafas kufanya mambo
mwenzake D mdogo mdogo katafuta chanel haf kazikazia jthada kibao mpaka kimeeleweka na bado anakomaa hamna kulemaa mtt wa tandale ma mtv trace bet afrima mpaka maus.. Al k tutamuona tbc star tv clouds
All k saa iv anatumia mgongo wa mchz.mfalme gan nymbo yake hyo mpo haipeny imeishia mipakan mwenzake mdogo na tuzo ishakula mwache ajifariji