trudie
JF-Expert Member
- Jan 15, 2014
- 4,443
- 10,776
Msanii Diamond afunika kwenye fiesta ya Kigoma pamoja na kutokuwepo,ulipigwa wimbo wake shangwe alizopokea zilikuwa balaa wanakigoma hawana ajizi.
Kwa upande wa Kiba naye alifanya vizuri japo stage perfomance inamuangusha na pia mpangilio wa mavazi.
Washauri wa Kiba mshaurini alivyovaa jana Kigoma hapana jamani sio mwonekano wa kisteji alikuwa kama anaenda kupokea kipaimara (suti na moka).