and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Nov 5, 2016 #21 aisee wakati wa mavuno huu na ukizingatia ni mwanzo wa mwezi watu bado wanazo
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Nov 5, 2016 #22 hapo four ways wanaingia wengi sana yaani mwenzio anakula mzigo unamtizama. Yule mlinzi w pale mpaka asubuhi anakusanya zaidi ya 100,000/=
hapo four ways wanaingia wengi sana yaani mwenzio anakula mzigo unamtizama. Yule mlinzi w pale mpaka asubuhi anakusanya zaidi ya 100,000/=
Heaven on Earth JF-Expert Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,226 Reaction score 26,716 Nov 5, 2016 #23 Msarendo said: wajanja hawaendi kwenye show hiyo. Bali mijitu mishamba tu Click to expand... ni vilaza tu kwakweli
Msarendo said: wajanja hawaendi kwenye show hiyo. Bali mijitu mishamba tu Click to expand... ni vilaza tu kwakweli
Swagger is alive JF-Expert Member Joined Jul 8, 2016 Posts 559 Reaction score 467 Nov 5, 2016 #24 Vibaka wa kinondoni Shamba ndio msimu wao wa mavuno Huu!
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Nov 6, 2016 #25 siku ya kuvuna leo, kaeni chonjo wala vumbi wa leaders
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Nov 6, 2016 #26 hao panya road wanawalia timing tu
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,405 Reaction score 11,196 Nov 6, 2016 #27 Dar imezizima/imesimama kwa tukio la fiesta IMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
kedrick JF-Expert Member Joined Apr 25, 2015 Posts 5,286 Reaction score 5,274 Nov 6, 2016 #28 andreakalima said: Dar imezizima/imesimama kwa tukio la fiesta IMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Click to expand... Sawa Ruge tumekuckia
andreakalima said: Dar imezizima/imesimama kwa tukio la fiesta IMOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO Click to expand... Sawa Ruge tumekuckia
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Nov 6, 2016 #29 dar imeshtuka kwa fiesta ya mwaka huu watu milioni 38 wamehudhuria na kufuatilia kwenye, APP & TV live (MUBASHARA) imooooooooo
dar imeshtuka kwa fiesta ya mwaka huu watu milioni 38 wamehudhuria na kufuatilia kwenye, APP & TV live (MUBASHARA) imooooooooo
M mussadigital Member Joined Oct 22, 2011 Posts 47 Reaction score 25 Nov 6, 2016 #30 TRA kusanyeni mapato ya fiesta tununue Bombadia nyingine
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Nov 6, 2016 #31 fiesta kwa maendeleo yetu. Imoooooooooooooo!!!!!!!!!!
and 998 others JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 27,921 Reaction score 39,107 Nov 6, 2016 #32 panya road tuoneeni huruma sisi watu wa hali ya chini, msitukabe saa ya kurudi hom.
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Nov 6, 2016 Thread starter #33 aisee hivi haiwezekani kufanya tamasha kwenye ukumbi wa maana zaidi kulishana vumbi pale uwanjani?
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Nov 6, 2016 Thread starter #34 hivi wanaohusika na USALAMA/SAFETY pale ni OSHA/FIRE ama NEMC?
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Nov 6, 2016 Thread starter #35 Spika kama za kwenye SANLG
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Nov 6, 2016 Thread starter #36 Fiesta inapogeuka Gym badala ya Burudani.....mikono juu
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Nov 6, 2016 Thread starter #37 Panya Road naona wameanza na vifaa vya magari. Daah
E establishment JF-Expert Member Joined Jun 27, 2015 Posts 1,632 Reaction score 2,448 Nov 6, 2016 #38 Tunashukuru shughuli imeisha salama
SSH2025_2030 JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 9,661 Reaction score 9,753 Nov 6, 2016 Thread starter #39 Tukutane tena mwakani