M Mkurabitambo JF-Expert Member Joined Feb 3, 2010 Posts 230 Reaction score 57 Sep 3, 2012 #1 polisi wanazuia mikutano ya chadema eti serikali inadai zoez la sensa linavurugika,je haya matamasha ya FIESTA,na mikutano ya vyama vingine(mfano CUF walifanya mkutano buguruni ijumaa) hayavurugi sensa?
polisi wanazuia mikutano ya chadema eti serikali inadai zoez la sensa linavurugika,je haya matamasha ya FIESTA,na mikutano ya vyama vingine(mfano CUF walifanya mkutano buguruni ijumaa) hayavurugi sensa?
B Bajabiri JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 9,727 Reaction score 1,214 Sep 3, 2012 #2 Dah,,,,wadau wanajua kudadis humu