M Marco shija Member Joined Sep 20, 2015 Posts 64 Reaction score 36 Jul 24, 2017 #1 Clouds vipi tena fiesta mwaka huu haipo? Sent using Jamii Forums mobile app
Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,025 Reaction score 1,708 Jul 24, 2017 #2 Fiesta lazma iwepo babaa.. kwenye mwez wa 9 hivi
Tajirimsomi JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 4,824 Reaction score 5,605 Jul 24, 2017 #3 Upepo hauvumi vzr this time around
wasaa9 JF-Expert Member Joined Jun 9, 2017 Posts 566 Reaction score 209 Jul 25, 2017 #4 Luvanga1 said: Fiesta lazma iwepo babaa.. kwenye mwez wa 9 hivi Click to expand... Mmmhhh.. light!! Sent using Jamii Forums mobile app
Luvanga1 said: Fiesta lazma iwepo babaa.. kwenye mwez wa 9 hivi Click to expand... Mmmhhh.. light!! Sent using Jamii Forums mobile app
mwenda wazimu JF-Expert Member Joined Feb 20, 2017 Posts 819 Reaction score 1,283 Jul 25, 2017 #5 SIO KWAMBA NDO IMETOKA IYO KUPITIA CASSTLE LIGHT UNLOCK ALAFU MIKOANI INAENDA KAMA JIWE LA MWEZI?
kukumdogo JF-Expert Member Joined Feb 1, 2011 Posts 2,884 Reaction score 2,787 Jul 25, 2017 #6 Labda kama Bashite sio mkuu wa mkoa wa DAR
nsanzu JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 4,928 Reaction score 5,770 Jul 25, 2017 #7 Muda ukijiri kila kitu kitakuwa hadharani, endelea kusikiliza na kuangalia vituo vyetu Tunakufungulia dunia............... Sent using Jamii Forums mobile app
Muda ukijiri kila kitu kitakuwa hadharani, endelea kusikiliza na kuangalia vituo vyetu Tunakufungulia dunia............... Sent using Jamii Forums mobile app
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,477 Reaction score 21,025 Jul 25, 2017 #8 Hadi Bashite Zero brains aombwe radhi Sent using Jamii Forums mobile app
S SAW V111 Member Joined Oct 30, 2016 Posts 92 Reaction score 63 Jul 25, 2017 #9 mwenda wazimu said: SIO KWAMBA NDO IMETOKA IYO KUPITIA CASSTLE LIGHT UNLOCK ALAFU MIKOANI INAENDA KAMA JIWE LA MWEZI? Click to expand... Mkuu umewaza mbali sana Sent using Jamii Forums mobile app
mwenda wazimu said: SIO KWAMBA NDO IMETOKA IYO KUPITIA CASSTLE LIGHT UNLOCK ALAFU MIKOANI INAENDA KAMA JIWE LA MWEZI? Click to expand... Mkuu umewaza mbali sana Sent using Jamii Forums mobile app
Lee JF-Expert Member Joined Jul 31, 2013 Posts 44,001 Reaction score 150,526 Jul 26, 2017 #10 Wamechelewa kupromote fiesta kweli sio kawaida yao
The Chosen One JF-Expert Member Joined May 24, 2017 Posts 3,579 Reaction score 17,013 Jul 26, 2017 #11 Cc. Luge na bdozen na mchomvu
Chimoto JF-Expert Member Joined May 30, 2017 Posts 293 Reaction score 124 Jul 26, 2017 #12 The Chosen One said: Cc. Luge na bdozen na mchomvu Click to expand... Hay bw kusaga