arusha sio kuzuri kwa vibaraka wa ccm
Toka CHADEMA waanze michezo ya kujilipua kwenye mikutano yao, mikusanyiko mikubwa sehemu za wazi imezuiliwa.
Fiesta ni Upuuzi kama Upuuzi Mwingine.
Vibaraka wa ccm????f..c..k...u..
Ni muda sasa niko hapa Arusha town sisikii wala sioni dalili za serengeti fiesta.
Last time 2010yr ndio fiesta niliyoishuudia wakati huo fiesta ilimleta diamond na wengineo huku washabiki na wapenzi wa bongofleva wakimrushia diamond chupa za bia aina ya serengeti na baadae mikojo na mawe.
Kadhalika "machalii" huku wakitembeza beto.
Mpaka leo Ruge simsikii tena A.town.
Kama yupo hapa njoo elezea umma nini kimekusibu Rchuga.