Mr Issa Mussa
Member
- Oct 6, 2020
- 12
- 11
Ni huzuni na kero kwa hili linaloendelea mjini Morogoro, Fieldforce wamejikita kukamata bajaji, Pia Tarura na sector zingine za kiutawala zote zimetolea macho waendesha babaji kwa kamatakamata na uwazishwaji wa vitu vipya
Kila uchao ili tu kutengeneza mianya ya kujinufaisha huku wakiwaweka kwenye mminyo na ugumu waendesha bajaji ambao wengi wao hali zao ni duni na hawajatengezewa mazingira mazuri ya vituo vya ushushaji na upakiaji kiukweli inaumiza.
Jambo hili linapelekea mambo yafuatayo;
01. Kukosa imani na ngazi za kiutawala baada ya kuwa msaada zimekuwa kadamizi na kelo.
02. Kukisili kwa uwalivu, vijana watakosa cha kufanya mwishoe watajiusisha kwenye uwalivu.