Habar zenu wana jamii forum;
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili katika chuo Makerere Uganda.Nasoma Bachelor Degree ya Biomedical Engineering.
Ningependa mnisaidie Makampuni ambayo wataweza kunikubalia kufanya field yaliyopo hapo kwetu.
Kwa ujumla nahitajia mafunzo ya vitendo.
Shukrani sana ndugu.