Shashi nalley
Senior Member
- Nov 5, 2016
- 136
- 111
Wakati niko sekondari tulikuwa tunadanganyana kuwa tunasomewa kwa hiyo hatustahili kukomaa kumbe ni kweli? bi dada kafeli lkn anakula life.hahahaha umenikumbusha kuna demu mmoja bwana alikuwaga wa ajabu sana ila nilikuwa simpendi kabisa sasa siku moja nipo A level nikakutana naye amebeba mikungu ya ndizi kachoka huyo mimi huku nilikuwa nafurahi ....
Sasa juzi kati bwana nilikutana naye.... aisehhhh kawa mzuri ana biashara nzuri ya urembo, nguo, na vitu vingine nilijikuta namtamani. hapo hapo nikamuomba ata awe mentor wangu na mimi nifanye biashara ata ya kuuza mikoba ya kike
NitaoaMwanamke ataolewa.wewe je,?
Yaan hapo.ni kwamba wote mmefeli shule.mwenzio anaolewa na mwenye pesa.wewe unataabika mtaani.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nitaoa
Funzo zuri mnohahahaha umenikumbusha kuna demu mmoja bwana alikuwaga wa ajabu sana ila nilikuwa simpendi kabisa sasa siku moja nipo A level nikakutana naye amebeba mikungu ya ndizi kachoka huyo mimi huku nilikuwa nafurahi ....