FFZE BREAKING: Zimbabwe Election Official Resigns Over ‘Vote Fraud’

FFZE BREAKING: Zimbabwe Election Official Resigns Over ‘Vote Fraud’

huyo Nape asubiri aone kitakacho tokea,,,, sasa kama wao ni wajanja sana na wanaweza sana kuiba kura safari hii tunamnyoa mtu nywele kwa kucha

Huyo Nape Nnauye alikua na thread yake hapa anajigamba ushindi wa ZANU-PF sijui nini....
Majibu yake haya hapa kwenye huu uzi. Unless alichokua anasema ni kuwa wizi wa kura ndo mpango mzima. Hapo naweza kumwelewa.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Mugabe mbabe. Mwizi kama CCM wote wa Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mwaka 2015 CCm wakiiba kura lazima tuwachape vibaya sana, tumewaendekeza vibaya hawa majizi, viongozi wa kiafrika kusema uongo ni kitu cha kawaida sana ua tuseme ni sehemu ya maisha
 
Mpuuzi tu huyo. Halafu sura yake MBAYA. Na minywele yake haina mvuto...
 
mgage safari hii lazima kuwake moto huko Zimbabwe ila ngoja tuone wizi wake wa kula utaishia wapi sasa pia huyo nape ykwanza namshauri amalize mgogoro wake na wazee wa hapo ccm ili wajadili namna ya kuiba kura 2015 sasa cha msingi sisi wananchi tunafanya kweli,,,, kujilindia kura zetu
 
Mpuuzi tu huyo. Halafu sura yake MBAYA. Na minywele yake haina mvuto...

Mkuu unyesha ukomavu sisi watoto tutakudharau,is this the content of thread?sura ya bi kiroboto mjengoni iko poa?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
QUOTE=HAMY-D;6990289]Huyo mmama kweye hiyo picha ana sura kama amekalia mwiba!

BTW, MDC = CHADEMA, Dr Slaa na huyo kilaza wa MDC ni wale wale tu.[/QUOTE]

Weka sura yako hapa tuione kama haifanani na ya shetani. Wewe hata siku moja huwezi kuumba binadamu mwenzio. Acha kumkashifu Mungu. Tunasubiri tuone hiyo sura yako nzuri. ------- mkubwa.
 
Back
Top Bottom