M Mkaka Member Joined Nov 2, 2010 Posts 17 Reaction score 1 Jan 6, 2012 #1 Nimeona magari ya FFU yakielekea Mjini, kunani huko?
MUREFU JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,331 Reaction score 353 Jan 6, 2012 #2 Mkaka said: Nimeona magari ya FFU yakielekea Mjini, kunani huko? Click to expand... kawaida huwa wanakwenda kulinda BOT na IKULU hakuna tatzo lolote
Mkaka said: Nimeona magari ya FFU yakielekea Mjini, kunani huko? Click to expand... kawaida huwa wanakwenda kulinda BOT na IKULU hakuna tatzo lolote
LEGE JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 5,122 Reaction score 9,222 Jan 6, 2012 #3 Yawezekana wanaenda kuwachokoa madokta muhimbili ili waache mgomo wao.