Hao wameagizwa na PM wawafukuze madaktari wasifanyeNmefika maeneo ya Tazara naona misururu ya magari ya FFU yamejaza maaskari,na magari ya kuwasha
wakielekea mjini,au ndio wanawafuata madaktari wetu nini!!
Waliogoma waingie mtaani. Na waliowatuma nao waingie mtaani.
Waliogoma waingie mtaani. Na waliowatuma nao waingie mtaani.
Serikali ya hovyo sana hii!!!
kama madaktari wameamua kwamba hawafanyi kazi, wanataka KUFANYA MKUTANO WAO WA NDANI, kwa nini serikali iwabugudhi?
Kwani hakuna sheria za kazi? kama mwajiri anaona umegoma kufika kazini bila taarifa, si atoe onyo au kufukuza kulingana na sheria inavyotaka?
Huu ni upuuzi wa hali ya juu sana, ukosefu wa mbinu za utawala na busara ya utawala........
Hivi huna ndugu yeyote anaye belong katika pauper class? Manake comments zako zinaashiria ukoo wako wote ni member wa elite class: ikulu, benki kuu, na balozi zetu huko ughaibuni basi. Na hivyo unaridhika na status quo
Mkuu yani unashindwa kuelewa wanatetea nini ?
Hao wameagizwa na PM wawafukuze madaktari wasifanye
Mkutano popote. Kazi ipo.
Hao wameagizwa na PM wawafukuze madaktari wasifanye
Mkutano popote. Kazi ipo.
Waliogoma waingie mtaani. Na waliowatuma nao waingie mtaani.