togetherTight
Member
- May 21, 2017
- 99
- 100
Nawasalimu wakuu,
Mimi ni mhasibu (kwa uzoefu😆😆) katika taasisi yangu.
Ninakauzoefu kidogo matumizi ya FFARS katika kufanya miamala ya mapato na matumizi, recociliation, adjustment atl.
Kwa wale tunaohusika na hii kitu karibuni tupeane mauzoefu.