hassan amir msuya
Member
- Nov 20, 2016
- 39
- 4
sawa dadaanguFollow your heart. Hiyo ni personal decision.. Yakikushinda usije ukailaumu JF
ok bro l got uBaba yako na mama yako! Wanajua huko JF..
Usione humu kimya tuliopo tumeishia standard 7F
Utajuaje kama interview ya Josipe utapita?wadau mi nina Qn
nimechaguliwa kujiunga na A-level-feza boys but haina ECA ina EGM na combination zingine za science,ila mm nataka kusomea economic in the future BUT for st.joseph cathedral ina ECA na bado cjafanya interview. je niende shule gani hapo?
thanks broUsiseme wadau...anza na salamu kwa wakubwa zako. Nani mdau hapa?
Ok shule zote ni nzuri apo...sasa kama shule zinaendana kwa uzuri...cha kuzingatia apo soma unachopenda, bcuz hutasoma milele kwnye.izo shule ila unachosomea kitakaa kwnye.maisha yako.
So tofauti ndogo ya ubora baina ya shule izo mbili isikufanye ukashindwa kusoma kitu cha ndoto yako.
thaks for advice broUtajuaje kama interview ya Josipe utapita?
Kama wakikukataa je?
Na pia kipindi unafanya interview hapo feza hukujua kitu unachotaka kusomea hapo hamna??
Nyie ndio watoto mnaotia hasara wazazi wenu ,yani mzazi anakulipia gharama za interview halafu baadaye unamwambia unachotaka kusomea hakipo, haaingii akilini kwa kweli ulifanya interview ili iweje sasa??
Ila kama unataka kusomea ECA St Joseph iko vizuri tu kijana kuwa na amani na kwa kuthibitisha wameingiza wanafunzi wawili kwenye kundi la wanafunzi bora kitaifa katika hayo masomo ya biashara
ok l got uNenda catherdal je utaweza kusoma pale sio lelemama wanakufukuza ukizingua kielimu na kitabia
kabisaECA inaitaji utulivu wa Hali ya juu
Kumbe bado upo level za form nin ninwadau mi nina Qn
nimechaguliwa kujiunga na A-level-feza boys but haina ECA ina EGM na combination zingine za science,ila mm nataka kusomea economic in the future BUT for st.joseph cathedral ina ECA na bado cjafanya interview. je niende shule gani hapo?
Sijaona tatizo lako liko wapi. Kama unataka kusomea Economics kama ulivyoandika EGM ndiyo combination inayo ongoza na sio ECA (ina bias ya Biashara). Kama ni hivyo FEZA inakufaa labda uwe na sababu nyingine. Na FEZA ni wazuri kwa hiyo combi.wadau mi nina Qn
nimechaguliwa kujiunga na A-level-feza boys but haina ECA ina EGM na combination zingine za science,ila mm nataka kusomea economic in the future BUT for st.joseph cathedral ina ECA na bado cjafanya interview. je niende shule gani hapo?
Sijaona tatizo lako liko wapi. Kama unataka kusomea Economics kama ulivyoandika EGM ndiyo combination inayo ongoza na sio ECA (ina bias ya Biashara). Kama ni hivyo FEZA inakufaa labda uwe na sababu nyingine. Na FEZA ni wazuri kwa hiyo combi.
cja kuelewa unamaanisha nn broKumbe bado upo level za form nin nin
thanks broSijaona tatizo lako liko wapi. Kama unataka kusomea Economics kama ulivyoandika EGM ndiyo combination inayo ongoza na sio ECA (ina bias ya Biashara). Kama ni hivyo FEZA inakufaa labda uwe na sababu nyingine. Na FEZA ni wazuri kwa hiyo combi.
Soma EGM yote unayotaka utayapata.wadau mi nina Qn
nimechaguliwa kujiunga na A-level-feza boys but haina ECA ina EGM na combination zingine za science,ila mm nataka kusomea economic in the future BUT for st.joseph cathedral ina ECA na bado cjafanya interview. je niende shule gani hapo?
thanks broSoma EGM yote unayotaka utayapata.