Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,941
Ha ha ha, ndio individualism inapoipeleka dunia huku. Kila mtu anajali nafsi yake tu. Na cabin crew inaonekana hawalipwi vizuri hivo hawaoni sababu ya kujituma.
Abuu, hiyo ndo indivudualism..
Maza kaona nafasi ya bingo na kuwa famous, anataka ku-capitalize..lol
Mkuu Ab-Titchaz Nakubaliana na maneno yako unayoyasema huenda huyu Mwanamke alikuwa amelewa ndio maana alikuwa amelala ndani ya ndege fofofo usingizi mzito utafikiri yupo ndani ya kitanda chake tena nyumbani kwake heeheh. Mie tangu nisafiri sasa ni miaka 18 sikumbuki lini niliwahi kulala ndani ya ndege nashangaa huyu Mwanamke amelewa Usingizi na kulala tena usingizi mzito? Kasheshe kweli huyu Mwanamke atakuwa amelewa tu nijuavyo mie katika ndege waweza kusinzia tu sio kulala kiasi cha ndege kutuwa salama wewe bado umelala kazi kweli. Nimeianzisha hii Topic lakini Siwaoni ndugu zangu Walokole wa hii JF kulizungumzia hili jambo lakini ingelikuwa huyo Mwanamke ni muislam au ana jina la Kiarabu basi Walokole wa humu JF Wangerukia hii Threat na kupaka Matope kashehse kweli ndugu zangu Walokole wa humu JF Asanteni.
Sasa wewe ni utumbo gani huu unaleta? Kaa huna hoja KAA KIMYA, endelea na kazi unayoieweza ya kukopi na kupaste.
Mkuu ukiwa JF unaeza ukashangaa kujua yanayoendelea vichwani mwa watu..he he he..Lmfao, good point kusema kweli, jamaa anataka kuinstigate trouble with the religious folk. . .:brick:
Sasa wewe ni utumbo gani huu unaleta? Kaa huna hoja KAA KIMYA, endelea na kazi unayoieweza ya kukopi na kupaste.
Nilijuwa nitajibiwa Utumbo kama huo mnaosema ndio maan nikasema hivyo ingelikuwa Muislam au ana Majina ya Kiarabu wangesema huyo ni Gaidi lakini wapi Mungu anawasuta Mtu wao Mwenyewe analala ndani ya ndege utafikiri yupo chumbani kwa mume wake Kashehse kweli na hii dunia ya sasa watu wapinga Uislam na kuipa majina mabay kwa sababu Uislam ndio njia anayotaka Mwenyeezi MunguLmfao, good point kusema kweli, jamaa anataka kuinstigate trouble with the religious folk. . .:brick:
Kwani kueka ayat nimekwambia nashindwa mpaka uniwekee wewe? Mhh kweli kuchanganyikiwa kubaya..stori inahusu maharagwe n'tu anakuja kuleta stori za NGURUWE..ohohohohoho.wewe ndio umechanganyikiwa kiasi cha ukweli unambiwa huoni au ulitaka niweke aya za Biblia?
Nimekuzoea wewe Mlokole unapenda mambo ya Ligi itabidi uwe Mpenzi wa Timu ya Ya Simba na mimi niwe Young afriacan kisha tuanze mambo ya Ubishani nakuona wewe umelala kama huyo mwanamke aliyelala kwenye ndege Mlokole Abdulhalim Amka amka Mlokole AbdulhalimKwani kueka ayat nimekwambia nashindwa mpaka uniwekee wewe? Mhh kweli kuchanganyikiwa kubaya..stori inahusu maharagwe n'tu anakuja kuleta stori za NGURUWE..ohohohohoho.
:becky:
Nimekuzoea wewe Mlokole unapenda mambo ya Ligi itabidi uwe Mpenzi wa Timu ya Ya Simba na mimi niwe Young afriacan kisha tuanze mambo ya Ubishani nakuona wewe umelala kama huyo mwanamke aliyelala kwenye ndege Mlokole Abdulhalim Amka amka Mlokole Abdulhalim
kama ungekuwa mke wangu ningekuacha Talaka tokomea endelea na Scotch za kubisha bisha wewe Mchungaji Mlokole mkubwa nakuacha kwa leo Msubiri Mpenzi wa islam na Gavana ,X Pastor na Sadeek wakushambulie wewe Abdulhalim MPenda Ligi kwa heri nakuaga kwa leoHe h e he nimekuwa mlokole tena..Ngoja nimalizie Scotch yangu niangalie ustaarabu kwene issue za maana.
Nilijuwa nitajibiwa Utumbo kama huo mnaosema ndio maan nikasema hivyo ingelikuwa Muislam au ana Majina ya Kiarabu wangesema huyo ni Gaidi lakini wapi Mungu anawasuta Mtu wao Mwenyewe analala ndani ya ndege utafikiri yupo chumbani kwa mume wake Kashehse kweli na hii dunia ya sasa watu wapinga Uislam na kuipa majina mabay kwa sababu Uislam ndio njia anayotaka Mwenyeezi Mungu
3. SURAT AL I'MRAN 19
19. Bila ya shaka Dini mbele ya Mwenyezi Mungu ni Uislamu. Na walio pewa Kitabu hawakukhitalifiana ila baada ya kuwajia ujuzi, kwa sababu ya uhasidi ulio kuwa baina yao. Na anaye zikataa Ishara za Mwenyezi Mungu basi hakika Mwenyezi Mungu ni Mwepesi wa kuhisabu.