Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Apr 11, 2018 #1 Wakuu mambo vipi .. Hope Ur all fine...aisee laptop yangu Hp Elitebook 8840p feni haizunguki inapata joto hadi inazima yenyewe sasa nahisi ili tatizoo linaweza kuua hata motherboard .... nifanyeje??
Wakuu mambo vipi .. Hope Ur all fine...aisee laptop yangu Hp Elitebook 8840p feni haizunguki inapata joto hadi inazima yenyewe sasa nahisi ili tatizoo linaweza kuua hata motherboard .... nifanyeje??
Kanungila Karim JF-Expert Member Joined Apr 29, 2016 Posts 20,741 Reaction score 25,681 Apr 11, 2018 #2 Jamani pole acha ubahili peleka kwa fundi
padevs New Member Joined Jan 25, 2017 Posts 2 Reaction score 1 Apr 11, 2018 #3 Fungua kama unautaalamu ..Uisafishe sehemu ya feni na feni yenyewe inawezekana imejam coz of dusts
chuma cha reli JF-Expert Member Joined Jul 2, 2012 Posts 2,764 Reaction score 2,570 Apr 11, 2018 #4 Peleka kwa fundi mjomba utapata hasara kubwa zaidi ya hiyo Kuna jamaa mmoja alijifanya fundi akafungua laptop yake sasa mda wa kufunga akashangaa ameshaifunga lakini nati kibao kama 18 zimebaki hahahaah
Peleka kwa fundi mjomba utapata hasara kubwa zaidi ya hiyo Kuna jamaa mmoja alijifanya fundi akafungua laptop yake sasa mda wa kufunga akashangaa ameshaifunga lakini nati kibao kama 18 zimebaki hahahaah
L laurentjl New Member Joined Nov 10, 2017 Posts 4 Reaction score 0 Apr 12, 2018 #5 Chek feni itakua imejaaa dust au wire zinazo peleka power zitakua zimefel kama imekukufa sample peleka kwa fundi aka replace
Chek feni itakua imejaaa dust au wire zinazo peleka power zitakua zimefel kama imekukufa sample peleka kwa fundi aka replace
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Apr 12, 2018 Thread starter #6 MJUKUU WA CHIFU said: Jamani pole acha ubahili peleka kwa fundi Click to expand... Sawa mkuu
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Apr 12, 2018 Thread starter #7 padevs said: Fungua kama unautaalamu ..Uisafishe sehemu ya feni na feni yenyewe inawezekana imejam coz of dusts Click to expand... Yap nishafungua nimeweka thermal paste nyingine at least hai heat sana
padevs said: Fungua kama unautaalamu ..Uisafishe sehemu ya feni na feni yenyewe inawezekana imejam coz of dusts Click to expand... Yap nishafungua nimeweka thermal paste nyingine at least hai heat sana
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Apr 12, 2018 Thread starter #8 chuma cha reli said: Peleka kwa fundi mjomba utapata hasara kubwa zaidi ya hiyo Kuna jamaa mmoja alijifanya fundi akafungua laptop yake sasa mda wa kufunga akashangaa ameshaifunga lakini nati kibao kama 18 zimebaki hahahaah Click to expand... Hahaha sawa mkuu mm nilifungua zikabak 2 hahaha
chuma cha reli said: Peleka kwa fundi mjomba utapata hasara kubwa zaidi ya hiyo Kuna jamaa mmoja alijifanya fundi akafungua laptop yake sasa mda wa kufunga akashangaa ameshaifunga lakini nati kibao kama 18 zimebaki hahahaah Click to expand... Hahaha sawa mkuu mm nilifungua zikabak 2 hahaha
Nafikiri Zaidi JF-Expert Member Joined Oct 20, 2014 Posts 516 Reaction score 686 Apr 12, 2018 Thread starter #9 laurentjl said: Chek feni itakua imejaaa dust au wire zinazo peleka power zitakua zimefel kama imekukufa sample peleka kwa fundi aka replace Click to expand... Dust nishapunguza mzee baba naona thermal compond imekua ngumu sana ngoja nichek
laurentjl said: Chek feni itakua imejaaa dust au wire zinazo peleka power zitakua zimefel kama imekukufa sample peleka kwa fundi aka replace Click to expand... Dust nishapunguza mzee baba naona thermal compond imekua ngumu sana ngoja nichek