Feni inauzwa

Feni inauzwa

Niliinunua kwa matumizi ya home, but nilipofika home nikagundua mimebugi, maana INA upepo ambao sio friendly kwa matumizi ya watu. So imekuwa haitumiki kwa muda sasa. Nahitaji kuiuza sasa
Haina sehemu ya kupunguzia??
 
Aliyenitumia SMS Jana anahitaji hii bidhaa, tuwasiliane maana SMS ukiyonitumia was accidentally deleted.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom