Nunua feni kwanza mkuu mambo ya chumba ni baadayeHiko chumba kodi yake ni sh ngapi?

Hiyo chumba mbona kama ya mkuu fulani humu jf.Nunua feni kwanza mkuu mambo ya chumba ni baadaye![]()
![]()
Ni nani tena mkuu?Hiyo chumba mbona kama ya mkuu fulani humu jf.
Nilishangaa yaani uzi uishe bila comment kama hii!Hiko chumba kodi yake ni sh ngapi?







Hicho chumba kipo mto msimbazi au pale jangwani mkuu hapo kodi nadhani ni 10000 kwa mwezi....
Kaka humu hakuna wanunuzi we kula hiyo buku tano tumalize biashara mie niichukue nikachomoe hilo funiko la mbele nitengenezee antena ya redio kijijini kwetu.






Yupo jamaa mmoja humu humu ndani anakageto chake kama hiki hiki.Ni nani tena mkuu?