Hilo ni soka la mchangani tu,kwahiyo sio mbaya sana.Kwahiyo kisa mwanamke kazaa ndio apoteze haki yake ya kusakata kabumbu?
Mbona wanaume wanacheza mpira huku wana watoto wachanga majumbani kwao? Au mtoto ni wa mwanamke pekee?

Bwana eeh, ingekua hivyo basi watoto wa wakulima wangeshakufa kibao.Mbona wanawake wakulima wanalima huku wananyonyesha?
Kunyonyesha hakuzuii mwanamke kujishughulisha.