Female Kenyan Pilot Taking US Airforce By Storm.

Naona hapo nyuma ukutani kuna Manual E6B Flight Computer kuubwa, hilo lenye muonekano kama 180° protractor ya kwenye mathematical set(mkebe/kompasi kibongo bongo).

Daah!
Kanikumbusha mbali sana, sasa nishasahu kuitumia hiyo manual flight computer.
Wataalamu wa Aviation wa zamani walipata shida kama wanasayansi na Slide Rule, au Four Figure Math Table!
 
they are pure haters...someone told me, Bongolalas hate anyone who makes effort to rise amongst themselves

I used to get really irked whenever they demonstrated their hate on every good stuff in Kenya, but I later came to know it's in their blood, they do it even to each other, no wonder they've been LDC for soooo long. Samatta is almost crying

2294653_IMG_20200203_150205.jpg
 
Mm mmasai na huko nyuma nilitokea sana kuwakubali wakenya sababu ndugu zetu wa kimasai wanaishi kenya,, hiki kilinifanya niwe na mapenzi ya dhati kwa nchi ya kenya....kilichonifanya niwaone ni watu wa ovyo na waajabu ni siku moja nikiwa sehemu yangu ya kazi na niliwapokea wagen kutoka kenya,,, nikashindwananao kuendelea nao kama tunapofanyaga kwa wageni wengine wa ndani na wa nje cz ujuaji wao, kila kitu wanaona wanajua, by the way nilichokifanya niliondoka na kuwaacha wababa wale na wamama wale na watoto wao wajiongoze wenyewe, mda wanaondoka walinitafuta nikakataa kuonanao cz niliona ni washamba sana!! Kenyan guys your so smart but punguzeni ujuaji popote mwendazo!! Be humble
 
labda wewe ndio ulikuwa na shida
 
Back
Top Bottom