Hawa jamaa bana now baada ya diamond kutoboa wanajifanya ndio mameneja bora mbona hawa walishindwa wafikisha kufahamika hata hapo zambia tu
Babutale ashawahi kuwa meneja wa z anto,mbdogg.gorilla killer(pingu na deso) kassim mganga,tundaman na spark,raymond(sio huyu rayvan), keisha mbona hawakufika popote?
Na sasa madee haendi show hata rwanda
Fella nae kawa meneja wa ferooz,berry black,bibi,cheka,chegge,temba kidogo ya moto ndo wanacheuwa
Hivyo wasihifanye wao wamemaster soko diamond ametoboa sasabu mama yake bingwa wa kupuliza na show zake zote kubwa huwa ndio mbeba mikoba huyo sallam mwenyew mbona alishindwa kumrudisha mr nice kwa game? Ay nae anaview kibao kwa hit yake ya zigoremix lakin ushasikia wapi anafanya show?
Me nashangaa sana wanamuziki wanapowalalamikia hao kuwa ni kikwazo
ndio ukweli wadada wengi wa mjini humfuata mama ake mondi awapeleke kupuliza kabla hawajabeba poda wengi wamefanikiwa kwa style hioDiamond ametoboa sababu mama yake bingwa wa kupuliza
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nmecheka sana hapo[emoji121]
Said Fella ndio meneja bora kabisa kwa bongo mpaka sasa japo najua kuna wasiompenda sababu ya wivu tu ila Fella ni habari kubwa... Juma Nature alikuwa mkubwa sana chini ya Fella na Diamond amekuwa mkubwa zaidi baada ya kuwa na huyu jamaa. Achilia mbali wasanii wengi aliowapush kufika level kubwa.