Felchesmi Mramba kadanganya Watanzania

Halafu ccm ccm... Pumbavu kabisa....tunakosa huduma muhimu Tanesco wanajibu tu anyhow....kwa kweli tunahitaji mabadiliko.
 

Mara ingine ujaribu kuongea kama mtu mwenye weledi na unachooongelea.....kufanya matengenezo ambapo unasimamisha huduma nationwide ni weakness kubwa kiutendaji.....haijalishi unafanya kwa nia njema au ovu.
 
upuuzi kweli kila siku wanakata.huu ni mgao na mbaya zaidi hawatangazi
 
hadi morogoro. pia me mke wangu anaamka usiku wa manane kuninyooshea nguo zangu . yan hatulali tnavzia umeme
 
makoko jumanne we sio mzima asee. . . . . ..

Ni watu type hii ndio wanajibu maswali na kuandaa hotuba za mawaziri. Wanafanya kazi kwa mazoea miaka nenda miaka rudi. No wonder mujibu yake yasio na kichwa wala miguu
 
Last edited by a moderator:

Acha kuunga mkono kukatwa kwa umeme.

Jana umeme ulirudishwa Mwanza saa 3 usiku, na leo asubuhi hii tayari wameshaukata.
 

Umeme ulikatika karibia nchi nzima..Tanesco wako kisiasa zaidi
 
Kwani sisi hatujawahi kudanganya???

Wangapi wametudanganya na bado wanatudanganya??

Kama kuna matengenezo wacha wafanye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…