TANESCO wana wafanyakazi professional wa kukata umeme wengi na committed kuliko mafundi.Wako very punctual kuhakikisha nusu saa kabla ya kukata umeme wameshawasili chini ya eneo lenye transformer husika. Wana stop watch kuhakikisha second haipitilizi wameshakata.
Inamaana huwo mgao Wa Umeme uko arusha pekee maana sijasikia kama kunamaeneo mengine ya nchi ya kilalamika. Na pia Tanesco haiusiani na siasa kwaiyo msepende kulichafua shilika kwanza mimi naona siku hizi wanajiataidi sana ktk kazi zao angalau sasahivi tunaona mbadiliko.epukeni kuupotosha uma. Namuunga mkono ndugu viatu virefu yuko sahii kabisa
Tanesco na SErikali naamin kwa jinsi mgao ulivyotesa wananchi wasingeweza kuruhusu urudi,nasikia wanaunganisha mtambo mkubwa sana kwenye gridi ya taifa hapo dsm,so tuache siasa jamaniiiiii
Kwa wale wapenda siasa twende jukwaa la siasa tukalumbane kwa hoja kwa kuwa kwenye uzi huu sioni nafasi ya siasa hapa
Mnyonge mnyongeni lakini haki mpeni,Tanesco wanafanya kazi nzuri sana wakati huu ukilinganisha na kipindi chochote cha historia ya nchi yetu,tuwapongeze badala ya kuwakatisha tamaa kwa kuwa hiki ni kipindi cha mpito tu ambacho kina maboresho makubwa na utekelezaji wa miradi mikubwa kupitia REA.siasa zisiiingizwe kwenye mambo ya kisayansi
Labda hufuatilii....
Morogoro hali ni hiyo hiyo....siku ya tano hii wanakata asubuhi mapemaaa kurudi ni saa mbili na maeneo mengine saa 5
Noooo kuboresha mitambo miezi zaidi ya miwili??? Halafu unawezaje kukata umeme more than 12 hrs?? Tena bila maelezo yoyote ya maana? Hivi unajua economical loss ya huu mgao wa kimya kimya?Sio kweli kwamba mkurugenzi wa Tanesco amedanganya kwa kuwa kinachofanyika sasa ni kuboresha miundo mbinu ya umeme kote nchini,tuache siasa na kupotosha umma kuhusu kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa kuwa
Sio kweli kwamba mkurugenzi wa Tanesco amedanganya kwa kuwa kinachofanyika sasa ni kuboresha miundo mbinu ya umeme kote nchini,tuache siasa na kupotosha umma kuhusu kukatika kwa umeme katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa kuwa
Kilichobaki ni kuwapa majibu 25 October waisome wenyewe
Inamaana huwo mgao Wa Umeme uko arusha pekee maana sijasikia kama kunamaeneo mengine ya nchi ya kilalamika. Na pia Tanesco haiusiani na siasa kwaiyo msepende kulichafua shilika kwanza mimi naona siku hizi wanajiataidi sana ktk kazi zao angalau sasahivi tunaona mbadiliko.epukeni kuupotosha uma. Namuunga mkono ndugu viatu virefu yuko sahii kabisa
Kwa hiyo watumiaji hawapaswi kujulishwa?
Hiki ni kipind cha mpito tu so tusiwakatishe tanesco tamaa kwani wanafanya kazi kubwa sana kufikisha nishat kwa jamii.