Feki Feki

View attachment 175288
Huyu karipotiwa jana na ITV hukoi Manyara akiwa na vyeti feki vya utabibu...........alipoulizwa masomo gani alisomea kwenye Udaktari akasema mojawapo ni HEART PROCESSING

dah yani huyu kaka alinisikitisha kweli,mwanzoni kajifanya alisomea muhimbili then India baada ya kubanwa ndio anasema alisomea madawa kwa wa china ubungo
 
View attachment 175287
Traffick Feki yasemekana miongoni mwa vitu alivyokutwa navyo ni leseni 40, kama alishwahi kukuchukulia ya kwako wahi haraka kwa Kova

traffick ana confidence ya hali ya juu,kova alimpasha kweli eti si lazima uwe traffick unaweza kwenda hata kupiga debe
 
traffick ana confidence ya hali ya juu,kova alimpasha kweli eti si lazima uwe traffick unaweza kwenda hata kupiga debe

tofauti ni kwamba ufeki wake una propaganda kijivu kwamba yeye alishawahi kufanya hiyo kazi akatimuliwa ndio unaiona hiyo confidence, lakn ungemuona dokta feki wa Manyara ndio ungezima fegi kabisa kwa confidence 300%
 
dah yani huyu kaka alinisikitisha kweli,mwanzoni kajifanya alisomea muhimbili then India baada ya kubanwa ndio anasema alisomea madawa kwa wa china ubungo

unadhifu wake na ugumu wa maisha alioudai haviendani
 
Katiba feki na wajumbe wa bunge la katiba nao ni feki mfano wanaojiita waganga wa jadi kumbe feki tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…