Pikipiki feki
Pikipiki feki
Ila uzi ulioshonewa hii nguo ya bi dada itakuwa original, ingekua feki ingesha tatuka hapo nyuma!
Longtime no see jomba.
jamani hivi unawezaja kuwa daktari feki kucheza na maisha ya watu? bora hata huyo trafic kuliko docta
Kaka Safari_ni_Safari haya bhana, kwahiyo hicho ndo kitu kingine f**k?
mimi ndiye niliyekuibua jukwaa la michezo.........(tehe......)