Feedback ya kumtafuta mchumba

dedy

Member
Feb 20, 2018
25
57
Mamboz,

Nilitumaga ombi la kumtafuta mchumba humu JF muda mrefu kidogo, kwa experience niliyoipata wanaume wengi hawako serious. Yaani wanatuona sisi wasichana tunaoandika huu Uzi basi ni hajatulia hivi, au tu wabaya hata hatutongozwi, lakini huo mtazamo sio sahihi.

Tunajitambua, ni vile tu tunaamini mume anaweza pata popote na akawa sahihi, ni mipango tu ya Mungu mwenyewe.

Mkiona mtu katuma ombi lake muheshimu mawazo yake.

Ni hayo tu, narudi kwenye kufunga, kusali, na kujipenda.

Wakati wa Mungu ni sahihi.
 
Inaonekana una nia ya dhati kabisa.
 
Mnakuwa selective halafu mnalaumu wanaume.
Haya sema kama hujapata tuje halafu uwe selective tena.
 
Dah!!
Umeandika kwa uchungu mpaka nimekuonea huruma.
Pole sana
 
Naitwa FLAN BIN FLAN Niko dsr kariakoo me pia natafuta mchumba wa kuoa.

Maelezeo zaidi DM.
 
Mungu akutangulie kama unamaanisha, akakuongoze vyema kukupatia hitaji la moyo wako.
 
Hata nyie wanawake mnazingua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…