Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,883
- 67,312
Ahaha nina bible ya mkononiHuna ata App moja ya bible.
Leo ngoja nijaribu aseNenda kwenye gallery (Photos), tafuta picha moja uliompiga mtu (Potrait ndio nzuri zaidi), hafu ifungue, juu kulia utaona kuna vidot vitatu, sasa chini ya ivo vidoti kuna alama flani ya shape pembe 6, ibonyeze. Itaload afu itafanya picha yako inakua unyama sana.
Iphone broiOS 26 ?
Kwenye nini?
Kuna kipi kipya kilichoongezwa?Kumekuwa na maneno mengi kuhu hii IOS 26 leo mimi nika amua kujitoa mwanga nime fanya update up now ipo vizuri napiga simu na pokea sms haina shida zaidi naona simu ime kuwa nyepesi zaidi uki gusa imoo
Huu ndio muone kano wake
Hapo kama umeingia jf muonekano wa kawaida ni huu hapa
View attachment 3480240
Vipo vingi tuKuna kipi kipya kilichoongezwa?
Kusema kweli bila unafiki. Hamna.Kuna kipi kipya kilichoongezwa?
We si umeisifia now kwenye camerKusema kweli bila unafiki. Hamna.