Elerai JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 474 Reaction score 139 Jan 11, 2013 #1 Wa ndugu zimepita wiki kadhaa tangu ngo ya feed the children inayopatikna maeneo ya msasani itoe tangaz la programs interns sasa wadau kama wameshatoa majibu au watu wameanz kazi 2julisheni . Wengne ndo 2nategemea huko
Wa ndugu zimepita wiki kadhaa tangu ngo ya feed the children inayopatikna maeneo ya msasani itoe tangaz la programs interns sasa wadau kama wameshatoa majibu au watu wameanz kazi 2julisheni . Wengne ndo 2nategemea huko
prakatatumba JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 1,328 Reaction score 192 Jan 11, 2013 #2 Badoo mkuu subiri subir kidoogo ila muda mwingine ukiona machoya ujue kaliwa
G Gkabogo Member Joined Dec 18, 2012 Posts 72 Reaction score 16 Jan 11, 2013 #3 We subiri tu atarudi! Ukiona manyoya kaliwa huyoo.
kwetukushi New Member Joined Dec 31, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Jan 13, 2013 #4 walishaita mkuu, interview ilikuwa trh 11, 12 na 14 ndo wanamalizia acee
G Gkabogo Member Joined Dec 18, 2012 Posts 72 Reaction score 16 Jan 14, 2013 #5 Naomba number zao za cm kama walikupigia kuna cm nimepigiwa leo nijue kama ndo cm kimeo ikajiza
kwetukushi New Member Joined Dec 31, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Jan 16, 2013 #6 Gkabogo said: Naomba number zao za cm kama walikupigia kuna cm nimepigiwa leo nijue kama ndo cm kimeo ikajiza Click to expand... Jamaa walitumia email kwa watu wote 20 na msg pia. Bahati mbaya msg yao nilijisahau nikawa nimefuta.
Gkabogo said: Naomba number zao za cm kama walikupigia kuna cm nimepigiwa leo nijue kama ndo cm kimeo ikajiza Click to expand... Jamaa walitumia email kwa watu wote 20 na msg pia. Bahati mbaya msg yao nilijisahau nikawa nimefuta.
Elerai JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 474 Reaction score 139 Jan 16, 2013 Thread starter #7 Maisha ni foleni kila siku inasogea polepole. Ipo siku katka mwaka ntaitwa na mimi