Nyie watukaneni polisi kana kwamba hamjui kazi zao ndio zinazowafanya muwe salama kufanya shughuli zenu. Hivi mazingira ya kazi za polisi mnazitambua? Tunahubiri Amani, chimbuko lake tunajua ni nini?
Kuna siku majira ya saa 2usiku nawakuta polisi et wanatanga pikpki maeneo ya misuna juu kuelekea aliazar sec. Hata kama ndo utendaji au? Wiz mtupu huo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.