Fedheha kubwa kwenye mapenzi

Pole sana mkuu!!! Labda ulikua mcepuko!!! Mapenzi haya [emoji46][emoji46][emoji46]
 
Pole mkuu.. inatokea hiyo hali funzo kubwa hapo ni kuepuka kuweka matarajio makubwa kwenye maisha ya mtu mwingine
 
Acha kuwashauri wenzio ujinga kutedwa utedwe wewe maumivu tugawane inahusuuu[emoji57] [emoji57]
 
Pole mkuu ila hawa viumbe ni chapa ilale otherwise utaumiza kichwa bila sababu ya msingi. bora huo muda unaotumia kumuwaza chukua fyekeo jaribu kufyeka majani uone huo mwendo kasi wake kama wa bombadia😀😀😀😀
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
daah... na demu mlipokutana yeye alijiteteaje.. kumsikiliza pia ni sehemu ya kujua tatizo.. kama alikabwa na wavuta bangi njiani..!!!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Shukuru amekuonyesha visa ukiwa hujafunga ile pingu.

wewe mtoto wakiume jikaze kisabuni atarudi na magoti.
 
We oa achana na story za humu kukatishana tamaa kwingi
Wananchanganya sasa humu kisa wao wametangulia sasa sione sifa isiyopondwa umu ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu bana sijui tuishii ivi ivi tu asa mtu unakuwa na jumba pekeako jaman haa
 
Na wana maudhi!!! Wakipendwa hawapendeki..!
Dah asee kweli imenikuta hiyo kuna manzi nlimzimia mbaya bac alikuwa akinifanyia kibri nika achana nae kwa kuwa alijua nimempenda Sana, Dah nlijuta kupenda mpaka leo sitaki manzi tena full stop
 
Kwa hiyo we uliweka miguu yote ndani! Hizi nyimbo tunaimba hapa kila siku kuhusu hawa watu hawaamini mpaka yawatokee kama yako....Mi sikupi hata pole yangu umeyataka mwenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…