Fedheha kubwa kwenye mapenzi

Mkuu....nilimpigia sm usku akapokea Jamaa.....nikamuuliza VP unapokea sm ya mke wng.....Jamaa akajib anavyo kuhusu wewe Mimi pia ananihusu....kwa mbali nkaskia saut ya dem ...(nipe sm yang bhana). Mkuu hapo VP niendelee kujifariji achepuki
daah... na demu mlipokutana yeye alijiteteaje.. kumsikiliza pia ni sehemu ya kujua tatizo.. kama alikabwa na wavuta bangi njiani..!!!
 
Wacha tuite FIRE usije ukaungua ungali hujapata ushauri kwa wana JF..!
 
Pole sana mkuu, yaelekea bado unaishi zama za mawe.
Alaf.......
Kwani huyo aliekufanyia hivyo, nae yumo humu..[emoji45]
 
Ntaoa shemeji ukinipa
NB:ushungi lazima adumishe
Yaani kwetu kuhus maswala ya ushungi usiulize usije ukashindwa ww kununua hizo shungi na baibui za kutosha
 
sie tulishayajua hayo tayar
 
Yaani kwetu kuhus maswala ya ushungi usiulize usije ukashindwa ww kununua hizo shungi na baibui za kutosha
Mpaka nmesema hivo ujue mie nipo ktk msimamo shem avater yako inafanya niamini usemacho huko kwenu so wew niandalie tu
 
Pole sana broo
 
Sheria ya maisha kila kwa kila jambo ana attempt saba... So umebakiwa na sita kwa uyo Mwanamke jishushe chini mrudie kisha alafu umuache yeye kwa kumuambia sikutaki
Pia nayo ni akili mkuu...
 
Mpaka nmesema hivo ujue mie nipo ktk msimamo shem avater yako inafanya niamini usemacho huko kwenu so wew niandalie tu
Hamna shida shem ukiwa tayr nijuze inshallah Allah ataleta kheri shem wangu
 
Yaleyaleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Si mengine ni yanayorun dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…