Pole mkuu ila hawa viumbe ni chapa ilale otherwise utaumiza kichwa bila sababu ya msingi. bora huo muda unaotumia kumuwaza chukua fyekeo jaribu kufyeka majani uone huo mwendo kasi wake kama wa bombadia😀😀😀😀Mahusiano yangu na mpenz Wang yalikua yanaenda vzr......alikua akinisikiliza..nitakapo muhitaji lazma aje. Yaani alikua anathamini sana kauli yangu....sikufikiri kama ananichit..........
Juzi juzi nimejua anachepuka ....looooooooooooh bora hata nisingejua...baada ya Mimi kumkalisha chini na kumlaumu kwa kuchepuka....ndo kabadilika kabisa mapenz yote kahamishia hukohuko anakochepukia....................kwangu ni zero..,
Najiuliza wenda Mimi ndo nilikua mchepuko wake.....
USHAULI KWA WANAUME WENZANGU......Dem usimpende sana mchukulie kawaida ....hata ukiachananae uwe safi tuu....namaanisha kuwa mguu mmoja ndani mwingine njee....
Hapa nimejaa stress ..nahisi.mwili wangu unawaka moto
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu utamua mwenzio ana stressPole sana nimemuona sehm kavaa kanga moco
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Ungajua maudhi yenu. Basi tu wacha niishie hapa
Oa bwan watulivu wapoKila siku malalamiko asee ndo sitaoa sasa ngoja nile vyangu kwanza [emoji6][emoji6]
Mkuu pole sana kwa kuingia mzima mzima, wenzio hizo stress tunazisikia kwa watu kama ninyi tu maana usipowekeza sehemu zaidi ya moja siku ukiachwa ndio utaujua uchungu wa mapenzi. Anyway kwa wanandoa ndio inawapasa kuingia miguu yote ndani ila kwa cc vijana hatuhitaji stress mguu mmoja ndani mwingine nje utaona dunia tamu siku zoteMahusiano yangu na mpenz Wang yalikua yanaenda vzr......alikua akinisikiliza..nitakapo muhitaji lazma aje. Yaani alikua anathamini sana kauli yangu....sikufikiri kama ananichit..........
Juzi juzi nimejua anachepuka ....looooooooooooh bora hata nisingejua...baada ya Mimi kumkalisha chini na kumlaumu kwa kuchepuka....ndo kabadilika kabisa mapenz yote kahamishia hukohuko anakochepukia....................kwangu ni zero..,
Najiuliza wenda Mimi ndo nilikua mchepuko wake.....
USHAULI KWA WANAUME WENZANGU......Dem usimpende sana mchukulie kawaida ....hata ukiachananae uwe safi tuu....namaanisha kuwa mguu mmoja ndani mwingine njee....
Hapa nimejaa stress ..nahisi.mwili wangu unawaka moto
Mkuu....nilimpigia sm usku akapokea Jamaa.....nikamuuliza VP unapokea sm ya mke wng.....Jamaa akajib anavyo kuhusu wewe Mimi pia ananihusu....kwa mbali nkaskia saut ya dem ...(nipe sm yang bhana). Mkuu hapo VP niendelee kujifariji achepukimkuu una uhakika ni kweli kachepuka... maana hapo unasema ulisikia tu!
na ushajiuliza imekuwaje mwanzo alikuheshimu ila asaivi kabadilika..!!!