Fedha zetu zinatengenezwa wapi!

Fedha zetu zinatengenezwa wapi!

hydle

Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
63
Reaction score
8
hivi fedha yetu ya tanzania inatengenezwa wapi,na kuna utaratibu gani mpaka zina tufikia,naomba msaada wenu.
 
hata mi nataka kujua fedha zetu ni za hali ya chini sana wiki iliyopita nilikua mahari panaitwa nyasa msumbiji amini usiamini mtoto mdogo hawezi kuichana noti ya sh ishrirni ya macambique. yaanio ni full plastic inadumu ukiiweka ktk maji ni water proof sijui haya magarasa yetu
 
Kama hujui swali kwa nini unaanza kujibu ngamia?
 
Zinatengezwa Dubai kupitia kampuni ya ki jerumani ambayo imeweka mitambo yake huko kwa ajili ya soko la africa
 
Sasa JF mbona imekuwa kichaka cha wahuni? Kama huna jbu yakini kheri kukaa kimya kuliko kudhibitsha uhayawani wako. Nltegemea mtu kaleta swali basi anajbiwa jb sahihi tena kistaarabu. UUNGWANA VITENDO!
 
Back
Top Bottom