Fedha za maafa ya tetemeko la Bukoba ziko wapi?

boja

Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
74
Reaction score
189
Habari za mchana wanajamvi,

Poleni kwa msiba wa Bw. Samwel Sitta Mungu amlaze Mahala Pema Peponi. Amen.

Najitoza kwenu kuhoji juu ya mabilioni ya pesa yalichangwa na wahisani mbalimbali kutoka na maafa ya yaliyotekea Kagera/Bukoba kwa ajili ya Tetemeko. Tuliona matajiri waliitwa na kamati ya maafa chini ya Waziri Mkuu na wakatoa pesa nyingi na ahadi kemkem sitakufahamu kama ahadi zilitekelezwa ama Laa! Pia mashirika mbalimbali ya kimataifa yalitoa pesa na nchi nyingine nyingi pia zilitoa pesa ikiwemo Uganda na nchi nyingine.

Sasa siku zinaenda tu na ukimya umetawala juu ya hizo fedha hakuna kinasemwa kinaendelea wakati huo huo watu Kagera wanazidi kuumia na hususani kipindi hiki cha mvua.

1. Fedha zimeenda wapi?
-Ama ndo uhakiki unaendelea?
-Ama ndo ile Mkulu alisema tetemeko halikuletwa na Sirikali na kila mwananchi ajitegemee kujenga asisubiri Sirikali?
Hata kama ni uhakiki ivi huo ukaki ndo mpaka sasa wakati watu hali zao si nzuri huko.

Wanajamvi Mwenye majibu naombeni anisaidie.
 
Hakika hii namba inasomeka kweli
 
Kupitia taarifa ya habari ya ITV ya saa mbili usiku, siku siikumbuki; walisema imetoka ruhusa ya kuanza kutumia MFUKO wa maafa kwaajili ya watu waliopatwa na majanga huko KAGERA, walisema kuna kama 4bn na ushee hivi.
 
Back
Top Bottom