Kuna scandal yoyote inayoihusu serikali umewahi kuielewa?Sijui unaongelea nini wewe?
Andika taarifa kwa ufafanuzi hii habari umeiandika kama sisi wote tunajua matukio yaliyotokea huko. hakuna tunachokijua kwa hiyo fafanua ili tuwe pamojaJeshi la Polisi nchini sasa ni aibu jamani. Fedha zinawaondolea maadili yoote. Mtuhumiwa aliyeua hivi majuzi kule Mererani jeshi linatoa taarifa za kupingana. Polisi wanalinda wenye pesa hata katika uhalifu wa wazi mauaji yanayoendelea nchini bila hatua stahiki kuchukuliwa jeshi linastahili kulaumiwa. Hata mtuhumiwa aliyeua kule Mererani jeshi lilikuwa linaogopa kumpeleka Babati, na inasemekana maelezo ya Mtuhumiwa huyo yalibadilishwa kwa nguvu ya pesa, tetesi za sasa tunaposikia kuna mwingine kauawa, yule aloshikiliwa majuzi naye yupo mtaani anapeta. Ndiko tunakoelekea???
jeshi la polisi nchini sasa ni aibu jamani. Fedha zinawaondolea maadili yoote. Mtuhumiwa aliyeua hivi majuzi kule mererani jeshi linatoa taarifa za kupingana.
Polisi wanalinda wenye pesa hata katika uhalifu wa wazi mauaji yanayoendelea nchini bila hatua stahiki kuchukuliwa jeshi linastahili kulaumiwa.
Hata mtuhumiwa aliyeua kule mererani jeshi lilikuwa linaogopa kumpeleka babati, na inasemekana maelezo ya mtuhumiwa huyo yalibadilishwa kwa nguvu ya pesa, tetesi za sasa tunaposikia kuna mwingine kauawa, yule aloshikiliwa majuzi naye yupo mtaani anapeta.
Ndiko tunakoelekea?
Jeshi la Polisi nchini sasa ni aibu jamani. Fedha zinawaondolea maadili yoote. Mtuhumiwa aliyeua hivi majuzi kule Mererani jeshi linatoa taarifa za kupingana.
Polisi wanalinda wenye pesa hata katika uhalifu wa wazi mauaji yanayoendelea nchini bila hatua stahiki kuchukuliwa jeshi linastahili kulaumiwa.
Hata mtuhumiwa aliyeua kule Mererani jeshi lilikuwa linaogopa kumpeleka Babati, na inasemekana maelezo ya Mtuhumiwa huyo yalibadilishwa kwa nguvu ya pesa, tetesi za sasa tunaposikia kuna mwingine kauawa, yule aloshikiliwa majuzi naye yupo mtaani anapeta.
Ndiko tunakoelekea?
mijitu mingine bana tabu tupu sijui mirembe huioni
Mtoa mada kakosea baadhi ya mambo,ila si kwa kiwango cha kumtukana!!msingi wa habari yake unaeleweka vizuri tu,ila nimegundua kuna watu wenye akili za nyumbu,mmoja akitangulia kupita njia hii,basi wanaofuatia lazima wapite palepale,mchangiaji wa mwanzo aliposema hajaielewa habari wengine nao wanakuwa hawaielewi japo kuna uwezekano wa kuielewa.
Si ajabu li-CHADEMA hiloSijui unaongelea nini wewe?
#Sijui unaongelea nini wewe?