Wameogopa kipigo cha JWTZ. Nina ndugu yangu alisema kuna siku maafisa kutoka Burundi, Rwanda na Zimbabwe walioko mafunzoni Kunduchi walipelekwa kuwaona vijana waliokuwa wanajifua pale Kibaha tayari kwa ajili ya kwenda DRC. Anasema jamaa wa Rwanda baada ya kuona yale mazoezi hakula jioni ile maana aliamini kuwa full batalian ni makomandoo tupu.
Huenda alituma salamu kwa vijana wao walioko DRC

FDLR walikuwa wana silaha kwa ajili ya kujilinda na mashambulizi ya kagame ambaye alikuwa anawaua mara kwa mara nchini DRC. kutokana na UN kuongeza nguvu katika eneo hilo, haiwezekani tena kwa Rwanda kuingia DRC, na hivyo hakuna haja kwa FDLR kufanya siasa wakiwa wameshika silaha.
Peleka udaku kwa yale magazeti yenu hapo
FDLR walikuwa wana silaha kwa ajili ya kujilinda na mashambulizi ya kagame ambaye alikuwa anawaua mara kwa mara nchini DRC. kutokana na UN kuongeza nguvu katika eneo hilo, haiwezekani tena kwa Rwanda kuingia DRC, na hivyo hakuna haja kwa FDLR kufanya siasa wakiwa wameshika silaha.
Hahah!nilidhani FDRL nimojawapo ya makundi ya kigaidi kama ilivyokuwa kwa M23 na uamuzi wa kupeleka vikosi vya kijeshi,uamuzi ambao ulipewa support na nchi zote za maziwa makuu ulikuwa unahusu vikosi vyote vya kigaidi:
Kulingana na majukumu ya majeshi ya AU nchini DRC , sasa ni zamu ya FDRL kupigwa:
Na kama haipigwi then usitegemee amani nchini Congo:lets wait and see
Rewind mkanda sasa ndio utajua kwa nini M23 wali evaporate in thin air
Hahah!nilidhani FDRL nimojawapo ya makundi ya kigaidi kama ilivyokuwa kwa M23 na uamuzi wa kupeleka vikosi vya kijeshi,uamuzi ambao ulipewa support na nchi zote za maziwa makuu ulikuwa unahusu vikosi vyote vya kigaidi:
Kulingana na majukumu ya majeshi ya AU nchini DRC , sasa ni zamu ya FDRL kupigwa:
Na kama haipigwi then usitegemee amani nchini Congo:lets wait and see
No, a very big No, rejea tena taarifa zako. Swala lilikuwa ni disarmament, UN ilikuwa against any armed group, na sio just any group. Hata hao M23 if they would come back as a political party then its fine.

Unataka kusema hizo SADC forces zilikuwa zina disarm M23 au zilikuwa zinapigana nao?
Pitia hii link, hii ndio UN resolution iliyopeleka majeshi DRC
‘Intervention Brigade' Authorized as Security Council Grants Mandate Renewal for United Nations Mission in Democratic Republic of Congo
Asante kwa ushauri. Udaku ni nini hapo? Au huamini JWTZ wana muziki wa ukweli? Kama ni hivyo, basi waulize M23!
Ninachokumbuka walipigwa, na hata picha hizi hapa.
![]()