FC Barcelona wanaanza kazi leo!


Pole sana mkuu kwa timu yako kukamuliwa na vijana wa kazi mkuu fainal ni Bayern Munich na Madrid na mshindi ni Bayern Munich kama unabisha siku hiyo ya fainal utanipata humu kwa Jf kama Mungu akipenda
 
Wakuu,leo tusimsikie awaye yeyote akilalamika kuwa Barcelona wana/wamebebwa na waamuzi. Kumbukeni mabao ya Gomez na Robben yalivyokuwa. Tuache dakika 90 ziamue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…