technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,646
- 58,439
Haaaah mahaba unayaonyesha kweli wa marekani watafanya tu maamuzi yaoHuwezi shindana na nguvu ya Mungu, laana ya kumuua Gadafi inamuandamana na bado Mpinga Kristo mkubwa Obama na yeye cha moto atakiona tu, D.Trump lazima amuweke lupango akiingia!Kabaaaaaaaaaaaaaaaaang!
Mpinga Kristo Chini!
Hivi kuna nini kinaendelea ktk hizo emails? Aliandika na kudanganya nini??
Nasubiri barbarosa atoe jibu nami nipatiepoHivi kuna nini kinaendelea ktk hizo emails? Aliandika na kudanganya nini??
Usituchefue na imani zako.Dini yenyewe wameileta wao.Leo wewe unajifanya unamjua kristo kuliko waliokuwaaminisha kwamba kuna mtu aliitwa kristo,.Mbona humsemi Trump ambaye anabagua binadamu wenzake,hiyo imani ya kubagua binadamu wengine mmefundishwa na nani?.Najua wewe utakuwa ni wale mnaojiita walokole mnaotembea na majini mifukoni na kuwatupia waumini wenu mkidai wana mapepo.Huwezi shindana na nguvu ya Mungu, laana ya kumuua Gadafi inamuandamana na bado Mpinga Kristo mkubwa Obama na yeye cha moto atakiona tu, D.Trump lazima amuweke lupango akiingia!Kabaaaaaaaaaaaaaaaaang!
Mpinga Kristo Chini!
Usituchefue na imani zako.Dini yenyewe wameileta wao.Leo wewe unajifanya unamjua kristo kuliko waliokuwaaminisha kwamba kuna mtu aliitwa kristo,.Mbona humsemi Trump ambaye anabagua binadamu wenzake,hiyo imani ya kubagua binadamu wengine mmefundishwa na nani?.Najua wewe utakuwa ni wale mnaojiita walokole mnaotembea na majini mifukoni na kuwatupia waumini wenu mkidai wana mapepo.
Acha imani za kipuuzi,Hilary akishindwa uchaguzi si kwa sababu ya hizo imani zenu za gizani,uchaguzi wa magharibi ni mbinu za kisayansi,kama mgombea hukujipanga kimkakati,jua utashindwa tu,hata uombe kwa kusali na kuvua nguo hutashinda
Alitumia Email yake binafsi yaani kama vile yahoo.com au gmail.com kwa emails za kiofisi jambo ambalo ni kosa, na isitoshe alificha mawasiliano na kufuta ingawaje alikuwa anawasiliana kiofisi, kumbuka kwamba alikuwa Waziri wa Kivita wa USA (Secretary of state)!
Nimeelezea kijuu juu tu lkn inakwenda ndani zaidi nafikiri, hapa Mpinga Kristo Clinton hachomoi!
ufafanuzi wa mpinga kristo pleaseHuwezi shindana na nguvu ya Mungu, laana ya kumuua Gadafi inamuandamana na bado Mpinga Kristo mkubwa Obama na yeye cha moto atakiona tu, D.Trump lazima amuweke lupango akiingia!Kabaaaaaaaaaaaaaaaaang!
Mpinga Kristo Chini!
Waliomua Gadaffi ni wafaransa na wapo hadi leo wanadunda.Sema una chuki zako kwa Hilary,ila kama ulivyoambiwa,huyo ndiye next P baada ya otholong'ong'o ObamaAaa wapi, atashindwa kwa sababu ya laana ya kumuua Gadafi inamuandama!
Alitumia Email yake binafsi yaani kama vile yahoo.com au gmail.com kwa emails za kiofisi jambo ambalo ni kosa, na isitoshe alificha mawasiliano na kufuta ingawaje alikuwa anawasiliana kiofisi, kumbuka kwamba alikuwa Waziri wa Kivita wa USA (Secretary of state)!
Nimeelezea kijuu juu tu lkn inakwenda ndani zaidi nafikiri, hapa Mpinga Kristo Clinton hachomoi!
Ni baba kayayiiWaliomua Gadaffi ni wafaransa na wapo hadi leo wanadunda.Sema una chuki zako kwa Hilary,ila kama ulivyoambiwa,huyo ndiye next P baada ya otholong'ong'o Obama
Waliomua Gadaffi ni wafaransa na wapo hadi leo wanadunda.Sema una chuki zako kwa Hilary,ila kama ulivyoambiwa,huyo ndiye next P baada ya otholong'ong'o Obama
Tatizo letu kubwa Wadanganyika wa Tanzania ni ujinga! Tumedanganyika kwa miaka karibu sitini na bado tunaendelea kudanganyika. Kudanganyika kwetu ndio mtaji mkuu wa CCM lakini bado hatuzinduki! Kweli hiki kizazi kimelaaniwa na uwepo wa watu kama Barbarosa humu ni uthibitisho tosha kwamba ujinga wetu unazidi tu kuongezeka. Hebu fikiria katika karne hii bado tunaona sifa kuwasifu madikteta uchwara, nachoka...!BREAKING: FBI Reopened Hillary Email Case...CONFIRMS She Lied About...
Imethibitishwa Rasmi kuwa alidanganya .
BREAKING: FBI Reopened Hillary Email Case...CONFIRMS She Lied About...
Imethibitishwa Rasmi kuwa alidanganya .
Mazee hii si website ya Trump hii?BREAKING: FBI Reopened Hillary Email Case...CONFIRMS She Lied About...
Imethibitishwa Rasmi kuwa alidanganya .