Hao watakuwa wanafanya ni mchezo
Mimi sikatai kila mgombea anataka ashinde uchaguzi, ninacho shindwa kuelewa katika uchanguzi wa safari hii huko Amerika ni hizi mbinu za kihuni, mtu unaweza kufikiri ni chaguzi za Banana Republics - wanataka kug'ang'aniza mtu ambaye anakubaliana na matakwa ya Establishment ndiye ashinde come rain or shine.
Kinacho shangaza zaidi ni hili la baadhi ya wapiga kura kutoshitukia mbinu za kihuni zinazo tumika kumpamba Hillary hilo awalioni kabisa!! - Wako radhi kumuweka madarakani binadamu ambaye anaweza kuanzisha WW3, mama huyo awajali ma Latino, Blacks na watu masikini ambao anawaita ni undisables - sijui kwa nini hawafatilii kauli zake anapokuwa kwenye mikutano ya ndani akiwa na matajili wa kizungu, wakajua undani wake.
Leo kwa mfano wame
mplant mtu kwenye mkutano/kampein ya ndani ya TRUMP, alipaza sauti kwamba kuna bunduki ili awatishe watu na Trump mwenyewe - it was a false alarm, lakini that was a well organised scheme walijua wahandishi wa habari watamfuata na kumuoji na nchi nzima itakuwa interested kujua nini kilitokea - jamaa huyo atatumia fulsa hiyo kumkandia TRUMP kwamba ni mtu mbaya, hatari apashwi kuchanguliwa mwishowe anajidai kwamba yeye ni wa chama cha TRUMP!!
Sasa kama jamaa huyo alikuwa hamtaki Trump si apige kura tu kulikuwepo na ulazima gani wa kuleta stunts ambazo kila mwanadamu mwenye akili timamu anajua lengo lake ni nini??
Kama Hillary anajiamini kwamba atashinda uchaguzi huu, kuna sababu gani ya yeye na wapambe wake kuendelea kujaribu kutumia Cowboy tacticts, mbona Trump afanyi mambo ya kijinga kama hayo.