Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
hii trick ni ya sikunyingi sana ila solution ni kuiziba na black soltape
Kwani mna fanya nini?halafu usihofu sana hapa Tz TISS hata kufungua computer hawajui,enjoy!Afadhali mkuu, dah maana nilishaanza kuwaza hapa itakuwaje tena
Wala hata siumizi kichwa!! Sasa watakuja kuspy nini kwangu!!
hii trick ni ya sikunyingi sana ila solution ni kuiziba na black soltape
....Pia wanatumia katika kujenga soko kwa kukupima kama mteja na mapendeleo yako ili waweze kukutumia kama sampuli ya soko la bidhaa zao za mtandaoni...
Kazi ya FBI kweli hii mkuu?
Ndio, CIA pamoja na FBI wanatumika sana na Tycoons wa nchi yao, kumbuka ni biashara za hawa macapitalists ndizo zinazofanya Marekani kuwa kiranja wa dunia. Kila unachoona kuhusu uwezo wa marekani kijeshi na kiuchumi ni capitalists kupitia biashara zao. Kigezo cha usalama kwa taifa ni njia ya kujipenyeza na kujipanua ili kushinda na kutawala (conquer and rule) na ndio maana wanachakusema kuhusu kila kitu na kila nchi. Ni sawa na mtu kuitwa Bernard lakini akawa Muislamu (just a metaphor). Federal Bureau of Investigation/ Central Intelligence Agency - collecting data and giving it to the business people for marketing/business purposes or using it for political purposes. Na kiranja mkuu ni Mossad wa Wayahudi. Fanya utafiti utapata mwanga kidogo. "Mwisho wa siku kila kitu ni biashara! hata thawabu/baraka."
hii trick ni ya sikunyingi sana ila solution ni kuiziba na black soltape
"ukikutana na matangazo inbox"
hii trick ni ya sikunyingi sana ila solution ni kuiziba na black soltape
.
haisaidii sana, mbona mimi naweza ku control pc yako,
kila kitu kwa kutumia mause yako tu remotely!
.Fafanua vizuri mkuu, wengine hapo tunahisi ni uchawi wa kileo