Kama una hela za kutosha una haki. Na Fazal anazo za kumtosha na ziada!This is tanzania man!!!!!!!Huyu mmiliki wa leopard tours aliyefungua kesi ya kuwasingizia madereva utalii wa leopard tours ya arusha, amekuja mahakamani na polisi waliovaama kiraia je ni haki mtu binafsi kulindwa na polisi.
hiyo kesi ikoje hebu tiririka kidogo japo tujue sababu za huyo mdosi kufingua hiyo kesi
Huyu si ndio anayempa hela za kampeni mamvi??
ngese wwHuyu si ndio anayempa hela za kampeni mamvi??
Kipofuhuyu ni mtu wa karibu wa mamvi na inasemekana ndiye anamtia kibri...