Fire emblem wangetoa la pc ndio ungeapriciate maana hardcore rpg anaangalia vitu vingi graphics haina nafasi
Kuna
-charachter developing
-exicted story line
-hidden/Puzzle thing
-animation nzuri/hasa kama kuna turn based
Final fantasy is no more than charachter developing inaboa
Cheza fire emblem hadi nywele zitakusisimka
modern warfare ww3 hatari sana hilo game. ila wamekuja kuzingua kwenye ghosta call for duty 3
Biohazard 1-5 au Resident Evil pamoja na Med al of Honor
I. baada ya hapo walipoteza mwelekeo wa game
Yep mie ile ya kwanza nilipiga fresh hadi finally yule mbabu aliyekua akinipa mission kwenda alijojo na alinisumbua sana kumuua mwishoni nilirudia hiyo part mara 2 coz alikua anapotea ukimzidia to behonest it waz a gud game and a nice one.
super mario
Mario and luigi saga super star
Mario vs donkey kong
Mario cement factory
Mario bombs away
Mario bros
Mario teniss
Mario the jugglers
Mario paint
Super mario kart
Mario is missing
Luigi's Mansion
Dark Moon
Max Payne ni game zuri sana la action! hadi unakuwa unahisi na wewe umo ndani ya iyo game!
mimi nimemaliza mission zotte labda sub mission tu nasijarusha ht missoon mojaJaman aliyemaliza mission zote za GTA San Andreas! Bila kuluka mission ! Nataka nijue mission ya mwisho ikoje?
.
Mana nna mpango wa kulimaliza kabisa kabla hawajatuletea GTA V PC version
.
kama uko mbeya ni pm kama uko sehem nyingine cjui lkn nnayo pa cdWakuu mwenye GTA San Andreas for pc anisaidie, nimeimis sana hii game,nlikua nacheza kipind niko chuo,it was the best game ever na nlibakisha mission moja