R.B
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 6,296
- 2,575
Fatuma Karume, Wakili wa Kujitegemea wa Mahakama ya Rufaa jijini Dar es Salaam amesema kwamba, Dk. Shein amewekwa madarakani kinyume na utaratibu wa nchi.
“Kama unawekwa madarakani kwa jeshi, vitisho huwezi kuwa rais wa wananchi,” amesema Fatma ambaye ni mtoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Aman Karume.