Fatma Karume: RC Chalamila acha ubabe mdogo wangu Serikali si yako ni yetu sote!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,045
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amemshukia RC Chalamila wa DSM na kumtaka aache Ubabe kwani umepitwa na Wakati

Karume katoa onyo hilo kufuatia kauli ya Chalamila Kwamba Tanroads ikishinda Kesi ndani ya dakika 15 atavunja Nyumba zote bila kujali ndani kuna nini

Nawatakia Dominica njema 😄
 
Nawatakia Dominica njema
Mlevi mmoja anayejiona Dar yote iko chini ya miguu yake bila kujua cheo ni cha Muda.
 
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amemshukia RC Chalamila wa DSM na kumtaka aache Ubabe kwani umepitwa na Wakati

Karume katoa onyo hilo kufuatia kauli ya Chalamila Kwamba Tanroads ikishinda Kesi ndani ya dakika 15 atavunja Nyumba zote bila kujali ndani kuna nini

Nawatakia Dominica njema 😄
Mjukuu wa Karume ana tatizo binafsi hakukaa kikarumekarume. It's best to ignore her - ni katika bundi walioishukia TLS. Chalamila ni Rais kama Kuna kosa (mie silioni) alaumiwe aliyempa Urais ambao ni Watanzania asilimia 87% huku bundi wa TLS tundulissu akaambulia 13%•
 
Shujaa Magufuli alipata 84% siyo 87%
 
Back
Top Bottom