MSHAURI_WA_NCHI
Senior Member
- Nov 10, 2015
- 139
- 73
Nakushauri kwani ni mtoto Mdogo na matatizo yaliyoko Zanzibar ni makubwa kuliko umri wako. Hata kama umetumwa kuwa makini sana.
Tumeshudia chokochoko nyingi visiwani Zanzibar lakini nawatahadharisha wazanzibar kuwa ni vema mkawa makini sana masuala ya nchi si ya kukurupukia na mtakuja juta.
Wabara tuko kimya tukiwatazama mtakapolikiroga huko msifikiri kuwa tutawachekea LA hasha bali nasi tutachukulia kwa style ileile mnayo taka kujivuruga wenyewe.
Tayari mmeonyesha kujitenga nasi wabara katika mazungumzo yenu kwa kupitia chama cha CUF.
Tambueni amani miliyonayo ni CCM. Kinyume cha hapo mjue Zanzibar haitokalika. Itakuwa ni uamsho wenye uasi dhidi ya undugu wetu na ubibadaku wetu. Udini na ubaguzi Wa kila namna Zanzibar utatamalaki.
Yangu ni hayo machache. Najua mpo wenye matusi na mliokosa Hekima nawakaribisheni mtukane ila ukweli ndo huo.