Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,322
- 24,192
Wanaume kwa kweli tuna bambikwa watoto ambao wanazaliwa na wake zetu.
Bibie kapachikwa mimba huko nje na mchepuko wake mara ghafla mwanauwe unapewa malavi davi ya kufa mtu.
Huko Uganda wanaume nawapongeza, wamesituka.
Wametoa azimio ala watoto wote wanaozaliwa wapimwe DNA ili kujua kama kweli mtoto ni wa baba.
Nawaunga mkono wanaume wa Uganda.
Watanzania tuamke.