Jamani ndo maana mkatoka kwa wazazi mkaapa kua pamoja,inamaana kushirikiana kumalizia ule muda wa maisha yenu no matter what,saa ukaanza kukp ur secrets hapo ndipo mnapo haribu ME,KE akigundua lazima muanze mifarakano,why dont u be fair n free lyf ts how u make t bhana,maisha simple kama ukitaka yawe simple n u gona enjoy t,blv me u guys,secrets,unfaithfull, hav no chance in love relationship!!