Father Kitima amstukia Dkt. Nchimbi

Status
Not open for further replies.
Nakumbuka kipindi akiwa FLATTERI alikua msumbufu sanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜….
 
Ukiweza maisha ya useja wewe ni konki hakuna kitu kinakushinda.
 
Kukaa muda mrefu bila kudinya napo kunaongeza usmart ...........jaribu uone
 
tulisoma na jamaa mmoja amekuja kuwa padree
he was the best among the best
scouting ya catholic priests naamini ni the best duniani
 
Aisee hawa watu wapo mbele sana kwa intelejensia ya uhakika.

Hawanaga kuficha ficha wala uchawa wao ni straight.

Video inapotosha uhalisia kwani imetumiwa katika muktadha tofauti na uhalisia wake.

Ufuatiliaji wa JamiiCheck umejiridhisha video hiyo si ya mwaka 2026 bali ilikuwa ni mahojiano ya Mwezi Disemba 01, 2025 aliyofanya Padre Kitima na Jambo TV ambayo pia yalichapishwa katika chaneli ya TEC YouTube.

Zaidi soma POTOSHI - Kitima amshukia vikali Nchimbi, anaigiza na kutudanganya. Je, kuna ukweli hapa?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…